Shoshana Johnson
Mandhari

Shoshana "Shana" Nyree Johnson (alizaliwa 18 Januari 1973) ni mwanajeshi wa zamani wa Marekani aliyezaliwa Panama, na ndiye mwanamke Mweusi wa kwanza kuwa mateka wa kivita katika historia ya jeshi la Marekani.[1]

Maisha na kazi
[hariri | hariri chanzo]Johnson, mwanajeshi wa kizazi cha pili wa Jeshi la Marekani, ni raia wa asili wa Panama. Alihamia Marekani na familia yake akiwa mtoto. Yeye ndiye mtoto wa kwanza wa Sergeant First Class wa Jeshi aliyestaafu, Claude Johnson, na mke wake Eunice.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Collins, Elizabeth M. (Februari 29, 2012). "Capture of first African-American female POW". Soldiers Magazine. Iliwekwa mnamo 24 Mei 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Johnson, Shoshana (2 Februari 2010). I'm Still Standing: From Captive U.S. Soldier to Free Citizen--My Journey Home. ISBN 978-1416567486.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shoshana Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |