Shoji Ueda
Mandhari
Shoji Ueda ( 1 Januari 1938 – 16 Januari 2025) alikuwa mpiga picha wa filamu kutoka Japani. Alifanya kazi mara kadhaa na mtengenezaji wa filamu Akira Kurosawa. Aliwahi kuteuliwa kwa tuzo ya academy ya upigaji picha bora wa filamu kwa kazi yake katika filamu Ran (1985). [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 上田正治さん死去 映画撮影監督 Ilihifadhiwa 16 Januari 2025 kwenye Wayback Machine. (in Japanese)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shoji Ueda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |