Shoichiro Toyoda
Mandhari
Shoichiro Toyoda (Februari 27, 1925 – Februari 14, 2023) alikuwa mfanyabiashara wa Kijapani na mwenyekiti wa Toyota Motor Corporation (1992–1999) na Japan Business Federation (1994–1998). Chini ya uongozi wake, Toyota ilianza uzalishaji wa magari nje ya Japani na kuanzisha chapa ya Lexus. Alikuwa mjukuu wa mwanzilishi wa Toyoda Automatic Loom Works, Sakichi Toyoda, na mtoto wa mwanzilishi wa Toyota Motor, Kiichiro Toyoda[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Basu, Shankar. (1999). Corporate Purpose: Why it Matters More Than Strategy, p. 55.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shoichiro Toyoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |