Shivaram Rajguru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shivaram Rajguru

Shaheed Shivaram Hari Rajguru (24 Agosti 1908 - 23 Machi 1931)[1][2] alikuwa mwanampinduzi mpiganiauhuru wa India kutoka jimbo la Maharashtra.

Anajulikana zaidi kwa tukio la mauaji ya polisi wa Uingereza. Alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa na serikali ya Uingereza yeye pamoja na wenzake Sukhdev Thapar na Bhagat Singh tarehe 23 Machi 1931

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Verma, Anil (15 September 2017). RAJGURU – THE INVINCIBLE REVOLUTIONARY. Publications Division Ministry of Information & Broadcasting. ISBN 978-81-230-2522-3.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Remembering Shivaram Hari Rajguru on his birthday", India Today, 24 August 2015. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shivaram Rajguru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.