Shiselweni
Mandhari
Shiselweni ni mkoa wa Eswatini, upande wa kusini. Una eneo la km2 3,787 na wakazi 235,427 (sensa ya mwaka 2023). Makao makuu ni Nhlangano.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Shiselweni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |