Shirley Hughes
Mandhari
Winifred Shirley Hughes (Alizaliwa 16 Julai 1927 -Alifariki 25 Februari 2022) alikuwa mwandishi na mchoraji wa Uingereza. Aliandika zaidi ya vitabu hamsini, ambavyo viliuza kwa zaidi ya nakala milioni 11.5, na vikiwa na michoro zaidi ya mia mbili.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Shirley Hughes – Penguin UK Authors Archived 20 Oktoba 2013 at the Wayback Machine