Shirikisho la Skauti Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chama cha Skauti cha Zimbabwe (Kiingereza The Scout Association of Zimbabwe) ni mwanachama wa Chama cha Skauti Duniani

Kuanzishwa Kwake[hariri | hariri chanzo]

Shirikisho hili lilianzishwa wakati wa kipindi cha vita vya pili vya Mataebele kipindi ambacho Baden Powell ambae baadae alikuja kuwa muanzilishi wa Skauti alipokutana na kuanzisha urafiki na Frederick Russell Burnham .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Burnham, Frederick Russell (1926). Scouting on Two Continents. Doubleday, Page & company. pp. 2; Chapters 3 & 4. OCLC 407686.