Shirika la maisha ya kitume
Mandhari

Shirika la maisha ya kitume ni kundi rasmi la Wakristo wanaume au wanawake ambao katika Kanisa Katoliki wamekusanyika kuishi kindugu kwa lengo fulani, hasa la kufanya pamoja utume[1]. Mashirika ya namna hiyo yanatofautiana sana. Sheria za Kanisa hilo kuhusu makundi hayo zinapatikana hasa katika Mkusanyo wa Sheria za Kanisa, kanuni 731-746.
Katika ya mashirika maarufu zaidi ya aina hiyo kuna:
- Mashirika ya Kazi ya Roho Mtakatifu
- Mashirika ya Maryknoll
- Mashirika ya Wapallotti
- Mashirika ya Wavinsenti
- Misheni za Paris
- Wamisionari wa Afrika
- Wamisionari wa Damu Azizi
- Waoratori
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- GigaCatolic list with individual links
- "Code of Canon Law – Book II – The People of God – Part II – Societies of apostolic life (Cann. 731–746)". The Vatican (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 25 Juni 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - The Congregation for Institutes of Consecrated Life and Societies of apostolic Life
| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shirika la maisha ya kitume kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |