Shinz Stanz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Shinz Stanz kwa jina lake halisi anaitwa Shinz.

Amezaliwa Eldoret tarehe 14 Aprili, ametokea inchini Kenya na ni mwimbaji na mtunzi wa kikenya ambaye ana nyimbo zake ambazo ni pamoja na "Kuja Beb", "Kwa Ground", " So Cool "," Ficha Manzi Yako "," Pliz I Say "na" Venye Si Huduu ".

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Ana mashabiki kubwa Kenya na Uganda, ambapo wimbo wake "Kuja Beb" ulivuma sana, na yeye kutumbuiza katika vyuo vikuu Kenya mwaka wa 2014.