Kingazija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Shingadzija)

Kingazija (pia Shingazidja) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa hasa katika kisiwa cha Ngazija nchini Komori, lakini pia kati visiwa vingine vya nchi hiyo na kisiwani kwa Mayotte. Pia kuna wasemaji 8,000 nchini Madagaska na 4,000 kisiwani kwa Reunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingazidja kiko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingazija kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.