Shama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Shimea)

Shimea au Shama alikuwa mtoto wa tatu wa Yese wa Bethlehemu na hivyo pia kaka wa mfalme Daudi (1Sam 16:10-11; 1Nya 2:13-16).

Alimzaa Jonadabu (2Sam 13:3).

Mwingine mwenye jina hilo alikuwa wa kabila la Benyamini (1Nya 8:32; 9:38).

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shama kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.