Nenda kwa yaliyomo

Shimanzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shimanzi
Nchi Kenya
Kaunti Mombasa

Shimanzi ni mtaa wa Mombasa; pamoja na Ganjoni ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Mvita nchini Kenya[1].