Nenda kwa yaliyomo

Shibasaburo Kitasato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Shibasaburo Kitasato.

Shibasaburo Kitasato (29 Januari 1852 - 13 Juni 1931) alikuwa mtoto wa kwanza wa aliyekuwa Meya wa kijiji kidogo huko nchini Japan.

Alisoma kuhusu dawa katika chuo kikuu cha Tokyo na kumaliza mwaka 1883 baada ya kufanya kazi katika ofisi ya afya ya umma.

Alitumia miaka sita nchini Ujerumani akisoma chini ya usimamizi wa mwana bakteriolojia, Robert Koch. Kwa wakati huo aliweza kutenganisha bakteria anayesababisha ugonjwa wa symptomatic anthrax na tetanasi.

Kitasato alichaguliwa kama rais wa kwanza wa chama cha matibabu cha Kijapani mnamo mwaka 1923 na alipewa cheo cha Baron mwaka 1924 na mfalme wa Japani.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shibasaburo Kitasato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.