Nenda kwa yaliyomo

Sheldon Adelson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sheldon Adelson (Alizaliwa 4 Agosti, 1933 – Alifariki 11 Januari, 2021) alikuwa mfanyabiashara bilionea na mfadhili wa kisiasa nchini Marekani, mwanzilishi, mwenyekiti, na afisa mkuu mtendaji wa Las Vegas Sands Corporation.[1] Alijulikana kwa kujenga The Venetian Las Vegas na Marina Bay Sands huko Singapore.[2] Alikuwa mchangiaji mkuu wa chama cha Republican Party (United States) na alikuwa mfadhili mkubwa wa Donald Trump katika uchaguzi wa mwaka 2016 na 2020.[3] Alimiliki gazeti la Israel Hayom na alikuwa mfuasi mkubwa wa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.[4]

  1. Bruck, Connie, "The Brass Ring — A Multibillionaire's Relentless Quest for Global Influence", The New Yorker, June 30, 2008.
  2. Skipworth, William. "Billionaire Miriam Adelson Seeks To Buy Sports Franchise After Selling $2 Billion In Las Vegas Sands Shares". Forbes.
  3. Stone, Peter (September 23, 2016). "Sheldon Adelson to give $25m boost to Trump Super Pac". The Guardian.
  4. "Casino mogul Sheldon Adelson, key backer of Trump and Netanyahu, dies at 87". Times of Israel.