Nenda kwa yaliyomo

Shamera Sterling

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shamera Sterling-Humphrey
Sterling akitetea Adelaide Thunderbirds mnamo mwaka 2023
Sterling akitetea Adelaide Thunderbirds mnamo mwaka 2023
Alizaliwa 21 October 1995
Nchi Saint James Parish, Jamaica

Shamera Sterling-Humphrey (alizaliwa kama Shamera Sterling tarehe 21 Oktoba 1995) ni mchezaji wa netiboli kutoka Jamaika.[1] Anachezea klabu ya Adelaide Thunderbirds katika ligi ya Suncorp Super Netball, na mwaka 2023 alitajwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Suncorp Super Netball.[2]

  1. "Shamera Sterling crowned SSN Player of the Year on the back of remarkable 2023 season". Adelaide Thunderbirds (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-20.
  2. Levy, Leighton (24 Julai 2018). "Jamaica's Shamera Sterling signs with Adelaide Thunderbirds". Sports Max. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-21. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shamera Sterling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.