Nenda kwa yaliyomo

Shahrukh Husain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shahrukh Husain (alizaliwa 28 Aprili 1950) ni mwandishi kutoka Pakistan anayejihusisha na fasihi ya kubuni (fiction), isiyo ya kubuni (non-fiction), na uandishi wa miswada ya filamu na televisheni.

Pia ni mtaalamu wa tiba ya kisaikolojia (psychotherapist), mtafiti wa simulizi za jadi (folklorist), na msimulizi wa hadithi. Anaishi London, United Kingdom.

Ni mshiriki (Fellow) wa Royal Literary Fund, taasisi inayosaidia waandishi na kukuza fasihi.[1]

  1. Paul, Shreya (2019-07-25). "Beecham House review: Gurinder Chadha's period drama falls prey to a white man's gaze of colonial India". Firstpost. Iliwekwa mnamo 2020-11-21.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shahrukh Husain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.