Seynabou Mbengue
Mandhari
Seynabou Mbengue (aliyezaliwa tarehe 15 Machi 1992) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Senegal anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji kwa klabu ya Metz inayoshiriki Ligi ya Daraja la Pili (Seconde Ligue). Amekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal.[1]
Mbengue amewahi kuchezea vilabu vya Valenciennes FC na Yzeure nchini Ufaransa. Pia aliichezea timu ya taifa ya Senegal katika ngazi ya wakubwa wakati wa mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake mwaka 2016.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Seynabou Mbengue" (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Effectif". FF Yzeure Allier Auvergne (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-04. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seynabou Mbengue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |