Sevil Shhaideh
Mandhari
Sevil Shhaideh (alizaliwa 4 Desemba 1964) ni mwanauchumi, mtumishi wa umma, na mwanasiasa wa Romania. Alipata umaarufu mkubwa kitaifa na kimataifa mnamo Desemba 2016 alipopendekezwa na chama cha Social Democratic Party (Romania) Social Democrats (PSD) kuwa Waziri Mkuu wa Romania, uteuzi ambao ungekuwa wa kihistoria.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- "Romania's President Iohannis rejects Muslim woman Sevil Shhaideh as PM"[dead link] - Ripoti ya BBC News.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sevil Shhaideh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |