Nenda kwa yaliyomo

Settimio Ferrazzetta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Settimio Arturo Ferrazzetta O.F.M. (8 Desemba 192426 Januari 1999) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki, mzaliwa wa Italia, aliyehudumu nchini Guinea Bisau.

Alipadrishwa tarehe 1 Julai 1951 kama kasisi wa Shirika la Ndugu Wadogo (Order of Friars Minor - O.F.M.). Mnamo 1955, alikwenda Guinea ya Kireno kama mmisionari, ambako alijitolea kwa shughuli za afya na elimu. Alianzisha kituo cha kutibu ukoma huko Cumura.[1]

  1. "Guiné-Bissau - A consciência de um país à deriva, Article by Jorge Neto, June 2005, Além-Mar Magazine (Portuguese)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2025-01-30.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.