Nenda kwa yaliyomo

Setrida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Setrida (jina asili: Sǣþrȳð pia: Sæthryth, Sedrido, Sethrida, Saethrid; alifariki Faremoutiers-en-Brie, karibu na Meaux, Ufaransa, 660 hivi) alikuwa binti wa kufikiwa wa mfalme Anna wa Anglia Mashariki[1], katika Uingereza wa leo, halafu mmonaki na hatimaye abesi[2] wa monasteri dabo iliyoanzishwa na Fara [3]. Aliongoza kwa uadilifu na busara kubwa [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.