Seti kibambo baiti mbili
Katika utarakilishi, seti kibambo baiti mbili (kwa Kiingereza: double-byte character set; kifupi: DBCS) ni usimbaji wa herufi ambamo herufi zote zinasimbwa na baiti mbili.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).