Sergio Obeso Rivera
Mandhari
Sergio Obeso Rivera (31 Oktoba 1931 – 11 Agosti 2019) alikuwa kiongozi wa kidini kutoka Meksiko katika Kanisa Katoliki. Alikuwa Askofu Mkuu wa Xalapa kuanzia 1979 hadi 2007 baada ya kuhudumu kama Askofu wa Papantla kutoka 1971 hadi 1974 na kisha kama coadjutor katika Xalapa kutoka 1974 hadi 1979.
Papa Fransisko alimtangaza kuwa kardinali tarehe 28 Juni 2018.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sánchez Silva, Walter (11 Agosti 2019). "Fallece Cardenal que presidió 3 veces el Episcopado Mexicano" (kwa Kihispania). ACI Prensa. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Villa, Itzel (11 Agosti 2019). "Cardenal Sergio Obeso Rivera fallece en Veracruz". El Financiero (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |