Sergio Adolfo Govi
Mandhari
Sergio Adolfo Govi, OFMCap (30 Juni 1934 – 31 Mei 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.
Alipadrishwa kwa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini mnamo 1960, halafu alihudumu kama askofu msaidizi wa Dayosisi ya Bossangoa, Jamhuri ya Afrika ya Kati kutoka 1975 hadi 1978. Baadaye alihudumu kama askofu wa dayosisi hiyo kuanzia 1978 hadi 1995.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |