Nenda kwa yaliyomo

Sergei Kharitonov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sergei Valerievich Kharitonov ( alizaliwa 18 Agosti 1980) ni mchezaji wa Urusi wa boxing ya kitaalamu, mixed martial arts (MMA), na pia ni mcheza kickboxing wa zamani.

Mwanariadha wa MMA tangu mwaka 2000, Kharitonov amewahi kushindana katika mashirika mbalimbali ya MMA nchini Japani kama PRIDE Fighting Championships na DREAM, pamoja na mashirika mengine ya kimataifa kama Bellator MMA, M-1 Global, Strikeforce, na pia GLORY (kickboxing).[1]

  1. [(http://www.sherdog.com/fightfinder/fightfinder.asp?fighterID=4184) "Fight Finder: Sergei Kharitonov"]. Sherdog. 2007. [(https://web.archive.org/web/20070807074917/http://www.sherdog.com/fightfinder/fightfinder.asp?fighterid=4184) Ilihifadhiwa kwenye nyaraka] kutoka chanzo mnamo 2007-08-07. Iliwekwa mnamo 2007-08-16. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergei Kharitonov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.