Nenda kwa yaliyomo

Serafim Fernandes de Araújo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Serafim Fernandes de Araújo (13 Agosti 19248 Oktoba 2019) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki nchini Brazil aliyehudumu kama Askofu Mkuu wa Belo Horizonte kuanzia mwaka 1986 hadi 2004.

Aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Yohane Paulo II mwaka 1998.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

ĭ