Nenda kwa yaliyomo

Sepp Piontek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josef Emanuel Hubertus “Sepp” Piontek (alizaliwa 5 Machi 194018 Februari 2026) alikuwa mchezaji na kocha wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani. Anajulikana zaidi kwa kipindi chake kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Denmark, na mwaka 2011 alingizwa kwenye Ukumbi wa Umaarufu wa Mpira wa Miguu wa Denmark (Danish Football Hall of Fame) akiwa mgeni wa kwanza kutoka nje ya Denmark kufanikisha hivyo.[1]

  1. "Nicht nach Philadelphia: Piontek bleibt in Hamburg" (PDF) (kwa Kijerumani). Hamburger Abendblatt. 7 Desemba 1978. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 6 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 15 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sepp Piontek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.