Senatro
Mandhari
Senatro (Demenna, Sicilia, mwanzoni mwa karne ya 10 - Missanello, Basilicata, 11 Januari 1000 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki kwanza katika kisiwa hicho alipozaliwa, halafu katika Mercurion, hatimaye askofu wa Missanello, hadi alipofariki katika monasteri aliyoianzisha huko Vitale wa Castronovo [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu kama ndugu yake Luka wa Demenna. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Eugenio III tarehe 1 Agosti 1151.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Januari[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Salvatore Bottari e Istituto di studi storici Gaetano Salvemini, Problemi e aspetti di storia dei Nebrodi, Pungitopo, 1999.
- Cosimo Damiano Fonseca e Antonio Lerra, Il monastero di S. Elia di Carbone e il suo territorio dal Medioevo all'età moderna, Congedo, 1996.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Catholic Hierarchy
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |