Nenda kwa yaliyomo

Senan Louis O'Donnell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Senan Louis O'Donnell, O.S.A. (24 Februari 192712 Aprili 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ireland ambaye alikuwa Askofu wa Maiduguri, Nigeria.

O'Donnell alipewa daraja ya upadre katika Shirika la Mt. Augustino tarehe 17 Julai 1955 na baadaye aliwekwa wakfu kama Askofu wa Maiduguri, Nigeria tarehe 28 Novemba 1993 na Askofu Patrick Francis Sheehan. Aliistaafu kutoka wadhifa huo tarehe 28 Februari 2003.[1][2]

  1. "Catholic Bishops Conference of Nigeria (CBCN)". www.cbcn-ng.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link)
  2. "Bishop Senan Louis O'Donnell [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.