Nenda kwa yaliyomo

Selby Mvusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Selby Mvusi (19291967) alikuwa msanii kutoka Afrika Kusini. Alizaliwa Richmond, KwaZulu-Natal, tarehe 18 Juni 1929. Mnamo mwaka 1961 alichukua kazi katika Clarke College, Atlanta, Georgia, Marekani. Alifariki dunia katika ajali ya gari karibu na Nairobi, Kenya, tarehe 10 Desemba 1967. Mnamo mwaka 2015, Elza Miles aliandika wasifu kuhusu Mvusi, uitwao Selby Mvusi: To Fly with the North Bird South.[1][2]

  1. Miles, Elza. "Selby Mvusi". Revisions. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Novemba 2017. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Selbourne Charlton Sobizwa "Selby" Mvusi". South African History Online. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selby Mvusi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.