Nenda kwa yaliyomo

Seisaku Nakamura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Seisaku Nakamura(中村 誠策; anajulikana kama "Muuaji Kiziwi wa Hamamatsu", 1924 - 19 Juni 1943) [1] alikuwa kijana wa Japani aliyehukumiwa kwa mauaji ya mfululizo.[2] Alihukumiwa kuwaua kwa kuwachoma visu watu wasiopungua tisa, wakiwemo vijana kadhaa, katika mkoa wa Shizuoka. Kitabu kinachoitwa Senzen no Shōnen Hanzai (yaani "Uhalifu wa Vijana Kabla ya Vita") kilichojadili tukio hili, kilichapishwa mwezi Oktoba 2007.[3]

  1. http://www.crimezzz.net//serialkiller_index/by_country/jp.php
  2. http://kangaeru.s59.xrea.com/senzen.htm
  3. 異色の少年犯罪本、ネット発で好評 (kwa Japanese). Asahi Shimbun. 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2010-05-26.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seisaku Nakamura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.