Nenda kwa yaliyomo

Seidu Al-Hassan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Seidu Al-Hassan ni mwanauchumi wa masuala ya kilimo kutoka Ghana na Makamu Mkuu wa Chuo cha Maendeleo Ya Jamii kilichopo Tamale, katika Mkoa wa Kaskazini nchini Ghana. Alianza rasmi nafasi hiyo ya Makamu Mkuu wa Chuo mnamo tarehe 1 Septemba 2022.[1][2]

  1. "The Vice-Chancellor". www.uds.edu.gh. University for Development Studies. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-08-04. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Seidu Al-Hassan". International Growth Centre (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 22 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seidu Al-Hassan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.