Nenda kwa yaliyomo

Segererua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Segererua ni volkeno yenye kimo cha mita 699 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Marsabit, Kenya[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.volcanolive.com/segererua.html
  2. http://wikimapia.org/14526470/Segererua-Volcano