Segenet Kelemu
Segenet Kelemu ni mwanasayansi kutoka Ethiopia ambaye alijulikana kwa kufanya utafiti wake kama mtaalamu wa magonjwa ya mimea ya molekuli na katika uongozi wake bora wa kisayansi. Ameongoza Kwa karibu miongo mitatu, utafiti wa Segenet na timu yake umechangia kushughulikia vikwazo vya kilimo barani Afrika, Asia, Amerika Kusini na Amerika Kaskazini.
Kuanzia Novemba mwaka wa 2013 hadi Desemba mwaka 2023, Segenet alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Fiziolojia ya Wadudu na Ikolojia, ndiyo taasisi pekee barani Afrika iliyojitolea kufanya utafiti kuhusu wadudu na arthropoda zingine. Hapo mwanzoni, alikuwa Mkurugenzi wa Biosciences nchini Afrika mashariki na kati (BecA); Pia ni makamu wa Rais wa Programu katika Muungano wa Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (AGRA), na Kiongozi wa Usimamizi wa Afya ya Mimea na Kilimo katika Kituo cha Kimataifa cha Kilimo cha Tropiki (CIAT).
Segenet amepokea tuzo nyingi za kimataifa ikiwa ni pamoja na: Tuzo za L'Oréal-UNESCO kwa Wanawake katika Sayansi mnamo mwaka wa 2014; Mwanachama, TWAS − Chuo cha Sayansi Duniani ; alipata udaktari wa heshima katika Chuo Kikuu cha Tel Aviv, mnamo Mei mwaka wa 2016; na kutambuliwa kama mmoja wa wanawake 100 wa Afrika wenye ushawishi mkubwa zaidi wa Forbes Afrika, mnamo Mei mwaka wa 2014; kutajwa kama mmoja wa wanawake 10 wa Afrika wenye ushawishi mkubwa zaidi katika jarida lakilimo na Jarida la Jinsia, Kilimo na katika Usalama wa Chakula (AgriGender Journal) na pia kama Mwanachama wa Chuo cha Sayansi cha Afrika . Heshima zake zingine ni pamoja na: Tuzo ya Mwanasayansi Mwandamizi Bora wa CIAT ; Tuzo ya Urafiki iliyotolewa na Jamhuri ya Watu wa China na Tuzo ya TWAS ya Sayansi ya Kilimo, na TWAS, Chuo cha Sayansi cha Dunia.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Segenet Kelemu alizaliwa katika mji wa Finote Selam nchini Ethiopia . [1] [2] Segenet, ingawa alikuwa na wenye walimu wenye changamoto na wapinzani, alionyesha kujitawala na, zaidi ya yote, alikuwa na uwezo wa kitaaluma. Alikuwa na bahati ya kuwa na walimu waliotambua na kukuza uwezo wake mkubwa alionao.
Kama watoto wengine wengi katika kijiji chake, Segenet alitarajiwa kusaidia katika kazi za kilimo. Zaidi ya hayo, tangu umri mdogo, alionyesha bidii kali ya uwajibikaji, na matokeo yake, mama yake alimpa jukumu la kuuza mazao ya shambani sokoni; akiwa na uhakika kwamba angeuza kwa bei nzuri zaidi na kuweka pesa salama. Hivyo, Kelemu alijifunza ukweli mgumu kuhusu kilimo: kazi yake ya kupinda mgongo hasa kwa wanawake, pamoja na changamoto za uzalishaji, ambazo ziliwaweka watu wa jamii yake katika mapambano ya mara kwa mara ili kukidhi mahitaji yao ya chini ya chakula ya kaya; lakini kati ya yote, uwezo wa sekta hiyo ya kilimo. Matokeo yake, alihisi wito wa kutafuta suluhisho la vikwazo vya kilimo. Kwa hivyo, ingawa alikuwa mwanafunzi wa daraja la juu, Segenet aliamua kujitolea katika sayansi na kilimo. [3]
Tuzo na utambuzi
[hariri | hariri chanzo]| 2025 | Business Day, Nigeria | Featured among 9 influential Africans |
| 2024 | Technology Networks | Featured in an e-Book titled, Women in Science: Inspiring the Next Generation [4] |
| 2024 | Africa Report | Dr Kelemu was featured in the Africa Report series of Top 50 Influential Africans: The Brains category. Her story is sub-headed: 'Plant science to feed the world'. [5] |
| 2023 | International Society of Plant Pathology | Elected Fellow [6] |
| 2023 | President of the French Republic | Dr Kelemu was awarded the title of Officier de L’Ordre national du Mérite (Officer in the National Order of Merit), by the President of the French Republic. |
| 2023 | Ben-Gurion University of the Negev, Israel | Honorary Doctorate degree of Doctor of Philosophy Honoris Causa |
| 2022 | Ellis Island Medal of Honor | The Medal recognizes individuals who have made it their mission to share with those less fortunate, their wealth of knowledge, indomitable courage, boundless compassion, unique talents and selfless generosity. [7] |
| 2022 | United Nations Economic Commission for Africa (ECA) | Dr Kelemu is one of the scientists featured in a publication titled, Earth, Oceans and Skies: Insights from selected, outstanding African women scientists, published by the United Nations Economic Commission for Africa (ECA). [8] |
| 2022 | Enat Bank, Ethiopia | Named its 94th branch, located in Addis Ababa, after Dr Kelemu, in honour of her excellence in the world of science. |
| 2022 | Doha Debates | On 7 June, Doha Debates announced that the latest individual honoured in their SolvingIt series is Dr Segenet Kelemu, one of Africa’s leading scientists and a role model for women in science and research around the world. [9] |
| 2021 | The Borgen Project | Dr Kelemu was recognised among brilliant women breaking barriers, improving global health, and inspiring others to pursue careers in science, a ‘modern Marie Curie’, by The Borgen Project, in honour of International Women and Girls in Science Day and International Women’s Day, 2021. |
| 2019 | Swedish Academy of Agriculture and Forestry International Fellow | The Fellows are chosen for their work as related to the academy's mission: "To promote agriculture and forestry and associated activities with the support of science and practical experience and in the interest of society."[10] |
| 2019 | Distinguished Alumni Fellow of Kansas State University, USA | The Fellows are chosen based on their high levels of professional accomplishment and distinguished service in their respective careers [11] |
| 2019 | Science Honoree of the Donald Danforth Plant Science Center | Each year, the Center acknowledges an exceptional individual who has had extraordinary impact in agriculture, food nutrition, or human health. [12] |
| 2018 | Woman of the Decade in Natural and Sustainable Ecosystems | The award is the highest honour conferred by the Women Economic Forum (WEF) for outstanding leadership. A global conference of the ALL Ladies League (ALL), WEF is the largest women chamber in the world, with about 70,000 members in 150 countries.[13] |
| 2018 | Bill Gates ‘Heroes in the Field’ | The ‘Heroes in the Field’ are individuals who are using their talents to fight poverty, hunger and disease, and providing opportunities for the next generation. The ‘heroes in the field’ were featured in a Time magazine article guest edited by Mr. Gates; a short video that he has narrated on his blog;[14] on the Bill & Melinda Gates Foundation Facebook page and through a series of tweets from Mr. Gates |
| 2017 | The Mind of the Universe[15] | The Mind is an ideological cross media project. It will be the first open source TV series ever, providing the whole series for free to all countries in the world in order to 'spread knowledge'.[16] |
| 2016 | Honorary doctorate by Tel Aviv University, Israel[17] | Over the past 50 years, Tel Aviv University has conferred honorary doctorates to remarkable figures in recognition of their professional and philanthropic contributions to society. Kelemu was honoured for pioneering role for women scientists in Africa; commitment in directing major efforts for the transformation of African agriculture; international acclaim as recipient of prestigious awards; service on advisory boards of key international institutions; and her support in the establishment of the Manna Center Program in Food Safety and Security of Tel Aviv University. |
| 2016 | Fellow, TWAS, The World Academy of Sciences | TWAS Fellows consist of the developing world's most prestigious scientists. |
| 2014 | L'Oréal-UNESCO For Women in Science Awards | The L'Oréal-UNESCO For Women in Science programme recognises achievements and contributions of exceptional females across the globe, by awarding promising scientists with Fellowships to help further their research. |
| 2014 | Top 100 most influential African women list by Forbes Africa[18] | Forbes is a global media company, focusing on business, investing, technology, entrepreneurship, leadership, and lifestyle. |
| 2014 | 10 most influential African women in agriculture | Awarded by the Journal of Gender, Agriculture and Food Security (AgriGender Journal)[19] |
| 2014 | Fellow, African Academy of Sciences | The African Academy of Sciences fellowships is awarded to scientists who have excelled in their respective fields of expertise. |
| 2011 | TWAS Prize for Agricultural Sciences[20] | The TWAS Prizes are awarded to individual scientists from developing countries in recognition of an outstanding contribution to scientific knowledge. |
| 2006 | Friendship Award granted by the People's Republic of China[18] | The Award is the People's Republic of China's highest award for "foreign experts who have made outstanding contributions to the country's economic and social progress. |
| date | Outstanding Scientist of the Year[21] | Awarded by the International Center for Tropical Agriculture (CIAT) |
Maisha ya kibinafsi
[hariri | hariri chanzo]Segenet Kelemu aliolewa na Arjan Gijsman, ambaye alifariki mnamo Juni mwaka wa 2021, [22] na ana mtoto wa kike anayeitwa Finote Gijsman. Anaishi Nairobi. Anafurahia kusoma wasifu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Interview with the Boss - BecA-ILRI hub". hub.africabiosciences.org (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 2017-09-30.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link). - ↑ "Segenet Kelemu - the mind of the universe". VPRO. Juni 11, 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Interview with the Boss - BecA-ILRI hub". hub.africabiosciences.org (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 2017-09-14.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Women in Science: Inspiring the Next Generation".
- ↑ "Top 50 Africans".
- ↑ "ISSP Fellows awarded at the ICPP2023" (PDF).
- ↑ "Ellis Island Medals of Honor Archive".
- ↑ Earth, oceans and skies: insights from selected, outstanding African women scientists. 2022. hdl:10855/47590.
{{cite book}}:|work=ignored (help) - ↑ "Top Ethiopian scientist honored by international news organization". 12 Juni 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "EIHS Medalists".
- ↑ "Icipe Director General honoured by alma mater | icipe - International Centre of Insect Physiology and Ecology".
- ↑ "Icipe Director General honoured for research impact on African farmers | icipe - International Centre of Insect Physiology and Ecology".
- ↑ "Icipe Director General honoured | icipe - International Centre of Insect Physiology and Ecology".
- ↑ Bill Gates (Januari 4, 2018). "No masks or capes, but these heroes are saving the world". GatesNotes.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ VPRO, The Netherlands Institute for Sound and Vision &, Segenet Kelemu: Extra footage 1, iliwekwa mnamo 2017-09-14
- ↑ VPRO, The Netherlands Institute for Sound and Vision &. "Mind of the Universe". Iliwekwa mnamo 2017-09-14.
- ↑ "Honorary Degrees - Honorary Degrees". www6.tau.ac.il (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Desemba 2012. Iliwekwa mnamo 2017-09-21.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>tag; no text was provided for refs named ":0". - ↑ "10 influential African women in agriculture". 29 Aprili 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "TWAS Announces 2011 Prize Winners". TWAS (kwa Kiingereza). 21 Novemba 2011. Iliwekwa mnamo 2017-09-21.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dr Segenet Kelemu - icipe - International Centre of Insect Physiology and Ecology". www.icipe.org.
- ↑ "Arjan Gijsman". DSSAT. 13 Juni 2022. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
