Nenda kwa yaliyomo

Sebastiano Martinelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Monsinyo Martinelli, alipigwa picha mnamo 1899 na Frances Benjamin Johnston

Sebastiano Martinelli (20 Agosti 18484 Julai 1918) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuhudumu kama Mkuu wa Idara ya Ibada Takatifu.[1]

  1. "A Popular Ablegate". New York Tribune. 1900-06-03. uk. 3. Iliwekwa mnamo 2011-12-10. But on the rare occasions when he does come in contact with people he is as responsive and agreeable as a man of the world.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.