Sebastiaan Tromp
Mandhari
Sebastiaan Peter Cornelis Tromp S.J. (16 Machi 1889 – 8 Februari 1975) alikuwa padre Mjesuiti, mwanateolojia, na mtaalamu wa Kilatini wa Uholanzi, anayejulikana zaidi kwa kumsaidia Papa Pius XII katika maandishi yake ya kiteolojia na Papa Yohane XXIII katika maandalizi ya Mtaguso wa pili wa Vatikani.
Alikuwa msaidizi wa Kardinali Alfredo Ottaviani wakati wa Mtaguso huo na profesa wa teolojia ya Kikatoliki katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregoriana kutoka 1929 hadi 1967.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |