Sean Graham
Mandhari
Hans Friedrich Hermann Isay (26 Juni 1920 - 5 Oktoba 2015), maarufu kwa jina lake la kisanii Sean Graham, alikuwa msanii na mtengenezaji wa filamu kutoka Ghana mzaliwa wa Ujerumani na afisa wa zamani wa Jeshi la Uingereza[1] kwenye filamu alijulikana kwa kuongoza filamu kama The Boy Kumasenu, Jaguar na Two Weeks in September.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sean Graham". MUBI (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ "Sean Graham, writer - obituary". www.telegraph.co.uk. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ "BOY KUMASENU: colonialfilm". www.colonialfilm.org.uk. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ Sandon, Emma (2013-09-01). "Cinema and Highlife in the Gold Coast: The Boy Kumasenu (1952)". Social Dynamics. ku. 496–519. doi:10.1080/02533952.2013.852826. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.