Seamus Heaney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seamus Heaney, 1970

Seamus Justin Heaney (13 Aprili, 1939 - 30 Agosti, 2013) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ireland. Hasa aliandika mashairi yanayohusu historia na utamaduni wa nchi yake. Mwaka wa 1995 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seamus Heaney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.