Nenda kwa yaliyomo

Scipione Rebiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Scipione Rebiba (3 Februari 150423 Julai 1577) alikuwa kiongozi wa Italia wa Kanisa Katoliki, mfuasi wa Gian Pietro Carafa, ambaye alikua Papa Paulo IV. Alishika nafasi mbalimbali katika uongozi wa Kanisa, ikiwa ni pamoja na baadhi ya za juu zaidi. Alianzisha Baraza la Kuhukumu Wazushi huko Napoli katika miaka ya 1550 akawa kardinali mwaka 1555.[1][2][3][4]

  1. G. Gulik and C. Eubel, Hierarchia catholica editio altera (curavit J. Schmitz-Kallenberg) (Monasterii 1935), 251.
  2. H. C. Lea, The Inquisition in its Spanish Dependencies (New York 1922), p. 78.
  3. Niccolò del Re, Monsignor Governatore di Roma (Roma: Istituto di studi Romani 1972), 60, 84–85.
  4. Miranda, Salvador. "REBIBA, Scipione (1504-1577)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.