Nenda kwa yaliyomo

Scipione Borghese

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Scipione Caffarelli-Borghese (matamshi ya Kiitalia: [ʃiˈpjoːne borˈɡeːze; -eːse]; 1 Septemba 15772 Oktoba 1633) alikuwa kardinali wa Italia, mkusanyaji na mfadhili wa sanaa.

Akiwa mwanachama wa familia ya Borghese, alikuwa mfadhili wa mchoraji Caravaggio na msanii Bernini. Urithi wake ni kuanzishwa kwa mkusanyo wa sanaa katika Villa Borghese huko Roma.[1]

  1. "Cardinal Scipione Borghese (1577–1633)", Heilbrunn Timeline of Art History
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.