Nenda kwa yaliyomo

Scarlet Ortiz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Scarlet Ortiz

Amezaliwa Hevis Scarlet Ortiz Pacheco
12 Machi 1974 (1974-03-12) (umri 50)
Caracas, Venezuela
Kazi yake Mwigizaji

Hevis Scarlet Ortiz Pacheco (amezaliwa tar. 12 Machi 1974, Caracas, Venezuela) ni muigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Venezuela. Anafahamika zaidi kwa jina la Camila Montes de Alba katika tamthilia ya "Todo Sobre Camila" iliyochezwa katika nchi mbili tofauti kati ya Peru na Venezuela.

Ortiz pia ameigiza tamthilia nyingi ukiacha ile ya Todo Sobre Camila, moja kati ya tamthilia alizoigiza kama vile Mi Vida Eres Tu iliyochezwa mwaka 2006 nchini Venezuela, Todos Quieren con Marilyn iliyochezwa nchini Kolombia na Secreto de Amor iliyochezwa nchini kwao huko Venezuela.

Muhtsari wa Tamthilia Alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  1. Mi Vida Eres Tu - 2006, Venezuela-USA
  2. Todos Quieren con Marilyn - 2004, Colombia
  3. Todo Sobre Camila - 2002, Peru-Venezuela
  4. Secreto de Amor - 2001, Venezuela-USA
  5. Mis Tres Hermanas - 2000, Venezuela
  6. Yo Soy Betty la Fea - 1999, Colombia
  7. Niña Mimada - 1998, Venezuela
  8. Luisa Fernanda - 1998, Venezuela
  9. Llovizna - 1997, Venezuela

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]