Nenda kwa yaliyomo

Skeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Scale)

Skeli (kutoka Kiingereza: scale) kwenye ramani ni kipimo kinachoonyesha uwiano wa umbali kwenye ramani kwa umbali halisi duniani.

Uwiano huu hutajwa kwa kawaida kwa kuandika "1 : (kiwango cha skeli)".

Mifano ya matumizi ya skeli za kawaida
SkeliUmbali wa ramaniUmbali halisiMatumizi
1:1.000sentimita 1m 10Ramani ya jengo au kiwanja
1:10.000m 100Ramani ya mji
1:50.000m 500Ramani ya utalii wa kieneo
1:100.000km 1Atlasi ya dereva wa gari
1:200.000km 2Ramani ya kijeshi (Urusi)
1:500.000km 5Ramani ya kijeshi
1:1.000.000km 10Ramani ya mikoa, majimbo
1:2.500.000km 25Ramani ya nchi
1:80.000.000km 800Ramani ya Dunia yote