Saverio Bettinelli
Mandhari
Saverio Bettinelli S.J. (18 Julai 1718 – 13 Septemba 1808) alikuwa padre wa Kijesuiti na mwandishi kutoka Italia. Alijulikana kama mtu mwenye talanta nyingi, mtunzi wa tamthilia, mlinganishaji, mshairi, na mkosoaji wa fasihi.
Alikuwa rafiki wa baadhi ya waandishi maarufu wa enzi yake: Voltaire, Francesco Algarotti, Vincenzo Monti na Ippolito Pindemonte. [1]Théodore Tronchin, Guillaume du Tillot, Melchiorre Cesarotti, Giacomo Filippo Durazzo, Pietro Verri, Giammaria Mazzucchelli na Francesco Maria Zanotti walikuwa miongoni mwa wanaozungumza naye kwa barua.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cimmino, Nicola Francesco (1968). Ippolito Pindemonte e il suo tempo. Juz. la 1. Rome: Abete. uk. 43.
- ↑ G. F. Galeani Napione (1809), Vita dell'abate Saverio Bettinelli, Turin, Italy: Presso i Fratelli Pomba, uk. 91
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |