Nenda kwa yaliyomo

Satbir Singh Hanspaul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Satbir Singh Hanspaul
Amezaliwa 10 Septemba 1987
Dar es Salaam, Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake Mkurugenzi mtendaji wa Hanspaul Group
Cheo Mkurugenzi mtendaji
Tovuti https://hanspaulgroup.co.tz


Satbir Singh Hanspaul (alizaliwa 10 Septemba 1987) ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uzalishaji Hanspaul Group.

Hanspaul Group ni kampuni ya kifamilia na moja ya makampuni makubwa ya uzalishaji nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1965 na babu yake, Dharam Singh Hanspaul.[1][2]

  1. "Satbir HANSPAUL". Africa CEO Forum 2024 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-02-20.
  2. "Arusha investor lauds govt's facilitative role". The Citizen (kwa Kiingereza). 2024-01-17. Iliwekwa mnamo 2025-02-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Satbir Singh Hanspaul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.