Sasha Clements
Mandhari
Sasha Nicole Clements (amezaliwa 13 Machi, 1990)[1][2] ni mwigizaji wa Kanada. Anajulikana kwa nafasi yake kama Kiki Kincaid katika sitcom ya Teletoon Majority Rules!. Alipata nafasi katika filamu ya fantasia The Snow Queen (2005 film) (2005). Pia aliigiza katika filamu ya Filamu Asilia ya Disney Channel How to Build a Better Boy (2014), akicheza nafasi ya Marnie.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Braven, Jenny. "Happy Birthday Sasha Clements". Instagram.com. Iliwekwa mnamo Machi 13, 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Clements, Anna. "Anna Clements and her husband Christopher Lee Clements". Instagram.com. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Clements, Sasha. "Having brothers drive you crazy all your life really does makes you a better person". Instagram.com. Iliwekwa mnamo Aprili 11, 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sasha Clements's education". Metro Biography. metrobiography.com. Agosti 13, 2019. Iliwekwa mnamo Agosti 13, 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sasha Clements kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |