Sarwe Iyasus
Mandhari
Sarwe Lyasus alikuwa mfalme wa Ethiopia mwaka 1433, na alikuwa mwanachama wa Nasaba ya Solomoni. Alikuwa mwana mkubwa wa Takla Maryam.
Kulingana na E.A.Wallis Budge, Sarwe Iyasus alitawala kwa miezi minne au nane, na alifariki kutokana na tauni. [1] Kulingana na James Bruce, baadhi ya orodha ya wafalme wa Ethiopia hazijuimuishi jina lake. [2]