Nenda kwa yaliyomo

Sarki Auwalu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarki Auwalu (alizaliwa 1965) ni mhandisi wa kemia kutoka Nigeria, akiwa ni Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Idara ya Rasilimali za Petroli (DPR), aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria.

Maisha ya Awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Sarki alipata Shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello, Zaria na aadaye, alipata Shahada ya Uzamili ya Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti (1993) kutoka Chuo Kikuu cha Bayero, Kano. [1][2]

  1. ↑ "Sarki, New DPR Director, Was Not on the Radar". Africa’s premier report on the oil, gas and energy landscape. (kwa American English). 2019-12-27. Iliwekwa mnamo 2020-07-18.
  2. ↑ "Sarki Auwalu: A Fitting Helmsman at the DPR". THISDAYLIVE (kwa American English). 2019-12-27. Iliwekwa mnamo 2020-07-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarki Auwalu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.