Sari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sari (Kitapuri: Sari ) ni makao makuu ya mkoa wa Mazandaran katika Uajemi. Idadi ya wakazi inakadiriwa kuwa takriban nusu milioni. Mji uko kaskazini ya milima ya Alborz na karibu na Bahari ya Kaspi.