Sarah Rivens
Mandhari
| Sarah Rivens | |
|---|---|
| Amezaliwa | 19 Desemba 1998 |
| Utaifa | Algeria |
Sarah Rivens (alizaliwa 19 Desemba 1998 huko Algeria.[1]) ni mwandishi wa Algeria.
Kufikia mapema mwaka 2023, Rivens alikuwa mwandishi anayeuza zaidi nchini Ufaransa kupitia mfululizo wake wa tamthilia ya Captive.[2]Hivi sasa yeye ndiye mwandishi wa Kialgeria anayesomwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, akiwa na usomaji wa watu milioni 9.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.leparisien.fr/culture-loisirs/livres/ventes-de-livres-qui-est-sarah-rivens-la-jeune-autrice-algerienne-qui-a-detrone-le-prince-harry-08-02-2023-4O2REHUKUNGVPHJKU2MBZPPM2I.php
- ↑ https://www.middleeastmonitor.com/20230328-algerian-womans-book-sales-exceed-prince-harrys-memoir/
- ↑ https://www.algerie360.com/france-une-romanciere-algerienne-detrone-les-memoires-du-prince-harry/#google_vignette
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarah Rivens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |