Nenda kwa yaliyomo

Sarah Gertrude Millin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sarah Millin, kabla ya 1931

Sarah Gertrude Millin (19 Machi 1889 - 6 Julai 1968) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alizaliwa nchini Lithuania na kuhamia Afrika Kusini alipokuwa mado mtoto mdogo. Aliolewa na Philip Millin aliyeendelea kuwa hakimu mkuu wa Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya. Pia aliandika wasifu ya Cecil Rhodes na ya Jan Smuts.

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • God's Step-Children (1924)
  • Mary Glenn (1925)
  • Cecil Rhodes (wasifu, 1933)
  • General Smuts (wasifu, 1936)
  • The Herr Witchdoctor (1941)
  • King of the Bastards (1949)
  • The Burning Man (1952)
  • The Measure of My Days (tawasifu, 1955)
  • The Wizard Bird (1962)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Gertrude Millin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.