Nenda kwa yaliyomo

Sara Naeini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sara Naeini (alizaliwa Shiraz, Irani, 23 Julai 1981) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Irani.

Sara Naeini alirithi uwezo wake wa kimuziki kutoka kwa mama yake, Hoorvash Khalili|fa|حوروش خلیلی, ambaye ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Irani. Alifanya tamasha lake la kwanza mwaka wa 1999. [1]

Sara Naeini kwa sasa anafundisha muziki na ana shahada ya kwanza katika usanifu wa michoro kutoka Chuo cha Ufundi cha Shariaty kwa wasichana huko Tehran.

  1. "سارا از تهران - معرفی و شنيدن آهنگهاش". بی‌بی‌سی فارسی.